Close

Close

Je, Unatumia Dawa Gani Kwa Maumivu Wakati Hedhi

Inashauriwa, kwa maumivu ambayo ni ya kawaida usitumie dawa. Acha mwili wenyewe ujitibu. Endapo maumivu ni makali wakati wa hedhi.

Basi tumia dawa za maumivu mfano panadol,proxicam, ibrufen, au diclofenac kwa maumivu makali ya tumbo,kiuno au mgongo wakati wa hedhi.