Close

Close

Jinsi ya Kuhesabu Mzunguko Wako Wa Hedhi

Utanza siku ambayo ulipata hedhi. Hio ndio itakuwa siku ya kwanza mpaka siku moja kabla ya kuona siku yako ya hedhi.

Nadhani ni bora tueleweshane kwa kutumia mfano:

Tuseme umepata siku zako tarehe moja mwezi wa nne ( 01/04/2022 ).

Halafu siku zako zingine ukaziona tarehe 29 mwezi wa nne ( 29/04/ 2022 ).

Hapo utachukuwa 29 toa 1 utapata 28. Maana yake hapo ni wewe unamzunguko wa siku 28.