Close

Close

Njia Za Kujisitiri Kipindi Cha Hedhi

Je, wewe unatumia njia gani kujisitiri kipindi cha hedhi?

Kuna Njia kuu 3:

  1. Menstrual Cups
  2. Sanitary Pads
  3. Tampons

Asilimia kubwa ya wanawake watanzania wanatumia sanitary pads(TAULO ZA KIKE). Na sio tampon au menstrual cups.

LAKINI UNAJUA NI WAKATI GANI UTUMIE NJIA IPI?

Unaweza kutumia aina yeyote kwa namna utajisikia huru. Baadhi ya watu wanatumia Pads mchana na tampons usiku.

Ila unashauriwa kama utakuwa na shughuli za mihangaiko siku hiyo ni vyema ukatumia mestrual cup utakuwa huru zaidi.