Jibu ni Ndio Unaweza Mtoto Anayenyonya.
Mabadiliko katika ladha ya maziwa na kupungua kwa kiwango cha maziwa huweza kumuathiri mtoto anayenyonya.
Mambo haya mawili yanaweza kusababisha mtoto mwenyewe kukataa kunyonya.
Ikiwa mtoto wako yuko chini ya mwaka mmoja, mabadiliko haya yaangaliwe kwa umakini zaidi ili kuhakikisha mtoto anapata virutubisho vya kutosha.
Lakini, ikiwa mtoto wako ni mkubwa na tayari kaanza kula vyakula vigumu na kula mwenyewe, mabadiliko ya ladha na kiwango cha maziwa hayawezi kumuathiri.