Close

Close

Je ni Salama Kula Udongo

Kitaalamu changamoto ya kula udongo huitwa geophagia. Ni utaratibu wa miaka mingi sana kwa watu wa rika zote kupenda kula udongo.

Baadhi ya watu wenye upungufu wa damu pia hupenda sana kula udongo na kundi lingine kubwa ikiwa na wanawake wajawazito.

Japo watu wengi husjikia vizuri wanapokula udongo lakini tabia hii ina madhara makubwa mengi sana kiafya. Ulaji wa udongo kwa muda mrefu unakuweka kwenye hatari ya kuugua matatizo kama:

  1. Mnyoo
  2. Mtatizo ya tumbo
  3. Vimelea kama amiba