Close

Close

Jinsi Ya Kuondoa Kichefuchefu Kwa Mjamzito

Kwa kitaalamu tunaita hyperemesis gravidarum. Yaani mama mjamzito anatapika kupita kiasi ndani ya miezi mitatu ya kwanza ya ujauzito na baadae hutoweka , na huambatana na Adha nyingine

SABABU KUBWA NI (hCG). Hii ni hormone ambayo huzalishwa wakati wa ujauzito toka kwenye placenta.

Ikizalishwa kwa wingi huweza kusababishwa hilo tatizo la kutapika sana!. Hasa kwa mtu mwenye mimba ya kwanza, mwenye mapacha na mama ambae yuko overweight (obesity)

SULUHISHO NI KAMA:

  1. Kabla hauja lala jaribu kula chakula chenye wingi wa protein.
  2. Na unashauriwa ule kidogo kidogo, mara kwa mara. Kuliko mlo mwingi kwa wakati mmoja.Na jaribu kuywa maji yakutosha.
  3. Suluhisho lengine ni kujaribu kunya chai yenye tangawizi, mdalasini, au mchaichai.

Kama umejaribi njia hizi bila mafanikio jaribu tumia dawa iitwayo Nosic 10mg/10mg Tablet. Tutafute na tutakuletea mbaka nyumbani kwako