Close

Close

Mpira wa Mkojo

Mpira wa Mkojo

TSHS 10000 /=

Mpira wa mkojo huzuia maji au mkojo wa mtoto kuingia kwenye godoro au sofa. Na unajua mkojo ukishaingia kwenye godoro au sofa huacha doa na huleta harufu mbaya.